Katekisimu Ndogo

Katekisimu Ndogo

Eğitim | AlberaInfoTech

500M + oyuncunun güvendiği Android Oyun Platformu, BlueStacks ile PC'de oynayın.

Sayfa Değiştirilme tarihi: 15 Ekim 2018

Play Katekisimu Ndogo on PC

Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki,

App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.
Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki ,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

1: SEHEMU YA KWANZA : IMANI
- Kipengele hiki kinahusisha Kanuni ya Imani ya Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 ambazo kila moja wapo ndani yake kuna maswali na
majibu kuhusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani.

1.0 : NASADIKI
1.1 : KWA MUNGU BABA MWENYEZI
1.2 : MUUMBA MBINGU NA DUNIA
1.3 : YESU KRISTU MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIYETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA
1.4 : AKATESWA KWA MAMLAKA YA PONSIO PILATO AKATESWA AKAFA AKAZIKWA AKASHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU
1.5 : AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU BABA MWENYEZI
1.6 : TOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU
1.7 : NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU
1.8 : KANISA TAKATIFU KATOLIKI
1.9 : USHIRIKA WA WATAKATIFU
1.10 : MAONDOLEO YA DHAMBI
1.11 : UFUFUKO WA MIILI NA UZIMA WA MILELE

2: SEHEMU YA PILI : SAKRAMENTI
-Sehemu hii inatoa majibu ya maswali kuhusu Liturujia,Neema, Visakramenti, Sakramenti
umuhimu wa Sakramenti , nani na wakati gani anatakiwa kupokea Sakramenti husika. Sehemu hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo:
2.0 : LITURJIA
2.1 : NEEMA
2.2 : SAKRAMENTI
2.3 : VISAKRAMENTI
2:4 : SALA

3: SEHEMU YA TATU : AMRI
Sehemu hii ya Tatu inahusisha uchambuzi wa Amri zote za Mungu na za kanisa, pia imejikita katika kutoa majibu kuhusu masuala ya fadhila , aina za fadhila,dhambi aina za dhambi, vishawishi na asili zake,
na pia majibu kuhusu dhamiri. Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo.
3.0 : AMRI KUU
3.1 : AMRI KUMI ZA MNGU
3.2 : AMRI ZA KANISA
3.3 : FADHILA
3.4 : DHAMIRI
3.5 : DHAMBI
3.6 : VISHAVISHI

4: SEHEMU YA NNE : SALA MUHIMU
Sehemu hii ya nne imegawanyika katika vipengele saba ambavyo vinahusisha zaidi aina mbalimbali za sala kwa wakatoliki ambao ni msingi wa maisha na shughuli zao za kila siku ,
namna ya kusali, wakati wa kusali ikiwa na lengo la kukufanya umshirikishe Mungu na kuwa karibu naye kwa kila jambo ufanyalo kwa siku nzima.
4.0 : SALA ZA ASUBUHI
4.1 : SALA YA JIONI
4.2 : SALA KABLA YA MAFUNDISHO
4.3 : SALA WAKATI WA KUUNGAMA
4.4 : SALA ZA JIONI
4.5 : SALA ZA KOMUNYIO
4.6 : SALA KWA BIKIRA MARIA

Katekisimu Ndogo oyununu PC'de oyna. Başlamak çok kolay.

  • BlueStacks'i PC'nize İndirin ve Yükleyin

  • Play Store'a erişmek için Google girişi yapın ya da daha sonraya bırakın.

  • Sağ üst köşeye Katekisimu Ndogo yazarak arayın.

  • Katekisimu Ndogo uygulamasını arama sonuçlarından indirmek için tıklayın.

  • (iEğer Adım 2'yi atladıysanız) Katekisimu Ndogo uygulamasını yüklemek için Google'a giriş yapın.

  • Oynatmaya başlatmak için ekrandaki Katekisimu Ndogo ikonuna tıklayın.

Videoyu İzle