このページには広告が含まれます
Biblia Takatifu na Sauti,  Swahili audio Bible

Biblia Takatifu na Sauti, Swahili audio Bible

書籍&参考書 | Robert Londo

BlueStacksを使ってPCでプレイ - 5憶以上のユーザーが愛用している高機能Androidゲーミングプラットフォーム

ページ更新日: 2020年2月17日

Play Biblia Takatifu na Sauti, Swahili audio Bible on PC

Biblia Takatifu inakuwezesha kusoma na kusikiliza Biblia Takatifu bila kuwa na mtandao (offline). Biblia Takatifu ina jumla ya vitabu 66. Vitabu 39 vya Agano la Kale na vitabu 27 vya Agano Jipya. Biblia Takatifu ina agano jipya na agano la kale

Biblia Takatifu imetengenezwa kukuwezesha kupangilia kulingana na mahitaji yako, mfano unaweza kuangaza aya unazotaka kuzipata kwa urahisi, kuandika kumbukumbu na kuweka alama katika sura upendazo (Bookmarks) ili uipate kirahisi utakapohitaji kuisoma baadae katia Biblia Takatifu.

Pia unaweza kushirikisha ndugu, jamaa na marafiki mstari wowote kutoka kwenye Biblia Takatifu kupitia ujumbe mfupi (SMS) au mitandao ya kijamii kama Facebook, twitter na WhatsApp.

Pakua Bibilia Takatifu leo na ubebe neo la Mungu popote uendapo!

UNAWEZA KUFANYA YAFUATAYO
★ Kusoma Bibilia Takatifu yote bila kuwa na intaneti (Offline)
★ Kusikiliza sauti za sura za vitabu vya Biblia bila kuwa na intanet
★ Kupata aya ya siku katika Bibilia Takatifu na sauti kila siku katika muda utakaouchagua kwenye Biblia Takatifu.
★ Kutafuta maneno au neno lolote kwenye Biblia Takatifu yote au kwenye Agano la Kale au Jipya. Pia biblia takatifu inakuwezesha kusikiliza sauti za vitabu vyote vya biblia takatifu
★ Kuchagua mandhari ya usiku au mchana kukusaidia kusoma kwa urahisi kulingana na mazingira katika Biblia Takatifu
★ Kubadili ukubwa wa maneno wa aya za Biblia Takatifu.
★ Kubadili aina ya fonti za aya za Bibilia
★ Kupata kitabu cha Biblia Takatifu kwa urahisi baada ya kutafuta.
★ Kuangaza aya kwa rangi mbalimbali (Kati ya rangi nane) katika Biblia Takatifu
★ Kuhifadhi alamisho (Bookmarks) ili kupata aya za Bibilia Takatifu uzipendazo kwa urahisi na haraka
★ Kuandika kumbukumbu na kuzipanga kwa rangi

VITABU VYA AGANO LA KALE
1. Mwanzo
2. Kutoka
3. Mambo ya Walawi
4. Hesabu
5. Kumbukumbu la Torati
6. Yoshua
7. Waamuzi
8. Ruthu
9. 1 Samweli
10. 2 Samweli
11. 1 Wafalme
12. 2 Wafalme
13. 1 Mambo ya Nyakati
14. 2 Mambo ya Nyakati
15. Ezra
16. Nehemia
17. Esta
18. Ayubu
19. Zaburi
20. Mithali
21. Mhubiri
22. Wimbo Ulio Bora
23. Isaya
24. Yeremia
25. Maombolezo
26. Ezekieli
27. Danieli
28. Hosea
29. Yoeli
30. Amosi
31. Obadia
32. Yona
33. Mika
34. Nahumu
35. Habakuki
36. Sefania
37. Hagai
38. Zekaria
39. Malaki

VITABU VYA AGANO JIPYA
1. Mathayo
2. Marko
3. Luka
4. Yohana
5. Matendo ya Mitume
6. Warumi
7. 1 Wakorintho
8. 2 Wakorintho
9. Wagalatia
10. Waefeso
11. Wafilipi
12. Wakolosai
13. 1 Wathesalonike
14. 2 Wathesalonike
15. 1 Timotheo
16. 2 Timotheo
17. Tito
18. Filemoni
19. Waebrania
20. Yakobo
21. 1 Petro
22. 2 Petro
23. 1 Yohana
24. 2 Yohana
25. 3 Yohana
26. Yuda
27. Ufunuo wa Yohana

Biblia Takatifu na Sauti, Swahili audio BibleをPCでプレイ

  • BlueStacksをダウンロードしてPCにインストールします。

  • GoogleにサインインしてGoogle Play ストアにアクセスします。(こちらの操作は後で行っても問題ありません)

  • 右上の検索バーにBiblia Takatifu na Sauti, Swahili audio Bibleを入力して検索します。

  • クリックして検索結果からBiblia Takatifu na Sauti, Swahili audio Bibleをインストールします。

  • Googleサインインを完了してBiblia Takatifu na Sauti, Swahili audio Bibleをインストールします。※手順2を飛ばしていた場合

  • ホーム画面にてBiblia Takatifu na Sauti, Swahili audio Bibleのアイコンをクリックしてアプリを起動します。

動画の視聴