Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161

Books & Reference | Robert Londo

Play on PC with BlueStacks – the Android Gaming Platform, trusted by 500M+ gamers.

Page Modified on: January 29, 2020

Play Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 on PC

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Play Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 on PC. It’s easy to get started.

  • Download and install BlueStacks on your PC

  • Complete Google sign-in to access the Play Store, or do it later

  • Look for Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 in the search bar at the top right corner

  • Click to install Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 from the search results

  • Complete Google sign-in (if you skipped step 2) to install Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161

  • Click the Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 161 icon on the home screen to start playing

Watch Video