Biblia Takatifu ya Kiswahili

Biblia Takatifu ya Kiswahili

Books & Reference | ⭐ Wiktoria Goroch ⭐

Play on PC with BlueStacks – the Android Gaming Platform, trusted by 500M+ gamers.

Page Modified on: May 16, 2019

Play Biblia Takatifu ya Kiswahili on PC

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

Play Biblia Takatifu ya Kiswahili on PC. It’s easy to get started.

  • Download and install BlueStacks on your PC

  • Complete Google sign-in to access the Play Store, or do it later

  • Look for Biblia Takatifu ya Kiswahili in the search bar at the top right corner

  • Click to install Biblia Takatifu ya Kiswahili from the search results

  • Complete Google sign-in (if you skipped step 2) to install Biblia Takatifu ya Kiswahili

  • Click the Biblia Takatifu ya Kiswahili icon on the home screen to start playing

Watch Video