Biblia Takatifu ya Kiswahili
Mainkan di PC dengan BlueStacks – platform Game-Game Android, dipercaya oleh lebih dari 500 juta gamer.
Halaman Dimodifikasi Aktif: 16 Mei 2019
Play Biblia Takatifu ya Kiswahili on PC
Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".
Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".
Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.
Mainkan Biblia Takatifu ya Kiswahili di PC Mudah saja memulainya.
-
Unduh dan pasang BlueStacks di PC kamu
-
Selesaikan proses masuk Google untuk mengakses Playstore atau lakukan nanti
-
Cari Biblia Takatifu ya Kiswahili di bilah pencarian di pojok kanan atas
-
Klik untuk menginstal Biblia Takatifu ya Kiswahili dari hasil pencarian
-
Selesaikan proses masuk Google (jika kamu melewati langkah 2) untuk menginstal Biblia Takatifu ya Kiswahili
-
Klik ikon Biblia Takatifu ya Kiswahili di layar home untuk membuka gamenya